Wazazi walio na watoto viziwi katika Kaunti ya Mombasa wamezindua Shirika la Jamii litakalotetea haki za watoto wao ikiwemo elimu na huduma za afya. Wanachama wa Pamoja Parents for Deaf CBO wametoa wito kwa serikali ya kitaifa kufikiria kujenga shule ya upili ambayo itashughulikia mahitaji ya elimu ya msingi ya watoto wao. Walilalamika kwamba, kuna ukosefu wa […]
