Shirika la Plan International, pamoja na Kaunti ya Homa Bay wameshirikiana na Chama cha Walemavu wa Kimwili cha Kenya (APDK) na kutoa msaada wa vifaa kwa watoto Thelathini na sita wenye ulemavu. Vifaa hivyo vyenye thamani ya KSh milioni 1.3 ni pamoja na viti maalum (viti vya magurudumu), vifaa vya kusimama, viatu vya mifupa na buti, […]
