mtoto.news

Categories
latest latest Latest News

Mtoto wa Miaka Mitatu Aliyetoweka Malindi Apatikana Akijaribu Kuvushwa Mpaka

  Written by Alice Njoki         Mtoto wa miaka mitatu aliyeripotiwa kupotea tarehe 13 Februari 2026 kutoka nyumbani kwao Malindi Central, Kaunti ya Kilifi, amepatikana salama karibu na mpaka wa Kenya na Tanzania baada ya wazazi wake kutoa taarifa kwa maafisa wa upelelezi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maafisa wa Idara […]