Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Kaunti Ndogo ya Nyando, Kaunti ya Kisumu, umesababisha vifo vya watu watatu, akiwemo mtoto wa mwaka mmoja, Jambo ambalo limechochea uchunguzi wa mamlaka za afya. Chifu Msaidizi wa Kobongo, Samuel Orage, alithibitisha kuwa vifo hivyo vilitokea ndani ya wiki moja, hali iliyozua hofu kuhusu kuenea kwa ugonjwa huo […]
