Written by Alice Njoki Mtoto wa miaka mitatu aliyeripotiwa kupotea tarehe 13 Februari 2026 kutoka nyumbani kwao Malindi Central, Kaunti ya Kilifi, amepatikana salama karibu na mpaka wa Kenya na Tanzania baada ya wazazi wake kutoa taarifa kwa maafisa wa upelelezi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maafisa wa Idara […]