Zaidi ya watoto 8,000 walio chini ya umri wa miaka mitatu wananufaika na mpango wa uhawilishaji wa pesa taslim za Kenya milioni 80 unaofanyiwa majaribio katika kaunti tatu. Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Watoto katika idara ya serikali ya Ulinzi wa Jamii, masuala ya wazee na programu maalum Peter Ombasa amesema kuwa, watoto 8,265 wanaochukuliwa […]
