mtoto.news

Categories
Health

Africa Prepares to Roll Out World’s First Ever Malaria Vaccine

By Raisa Okwaras A child dies of Malaria in Africa with every minute that passes. However, the World Health Organisation announced that measures are ongoing to roll out the world’s first ever Malaria vaccine in Africa, with the mass rollout being funded by Gavi. Gavi, the Vaccine Alliance, is funding about US$160 million to improve […]

Categories
Uncategorized

Sanduku la Malalamishi la Kushughulikia shida za Watoto

Shirika Lisilo la Kiserikali (NGO) linalojulikana kama Kamati ya Kimataifa ya Maendeleo ya Watu (CISP), limeunda visanduku vya mazungumzo na vilabu vya kutetea haki za watoto katika shule mbalimbali mjini Kakamega, ambapo watoto wanaweza kueleza shida ambazo wanataka zishughulikiwe. Meneja wa programu wa CISP, Esther Waduu, amesema kwamba, vilabu vya kutetea haki za watoto vina […]

Categories
Feature Stories

Kwa nini Sheria ya Afya ya Ujinsia na Uzazi inapingwa Afrika Mashariki?

Nchi sita za Jumuiya ya Afrika Mashariki – Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Uganda na Tanzania – hivi karibuni zimehitimisha mikutano ya hadhara kuhusu mswada mpya wa afya ya uzazi na ujinsia.  Wafuasi wa Mswada huo wanasema kuwa, sheria hii itaboresha upatikanaji wa afya ya ngono na uzazi ambayo, kwa upande wake, itaboresha viashirio vingine […]

Categories
Data Stories

4 Ways to Keep Children Safe During General Elections

By Raisa Okwaras It is exactly twenty days to the general elections in Kenya. Even though children do not vote, activities from the general elections could affect them forever. Parents should therefore prioritize the safety of their children since as a nation, we are still dealing with Post-traumatic Stress Disorder (PTSD) from the 2007-2008 post-election […]

Categories
Uncategorized

Ripoti 2021: Ukiukaji Uliovuka Mipaka

Kulingana na Ripoti ya 2021 kuhusu Watoto na Migogoro ya Kivita , angalau wasichana 5,242 na wavulana 13,663 wamekuwa wahasiriwa wa ukiukaji mkubwa, huku watoto 1600 wakiwa wahasiriwa wa ukiukaji wa mara kwa mara. Ripoti hiyo iliangazia jumla ya ukiukaji wa kuvuka mipaka wa watoto 23,982. Ujumla wa nambari hii ya ukiukaji iko sawa na idadi ya […]

Categories
Uncategorized

Where Does the Upkeep Money Go To? A Kenyan Mother Working Abroad Finds Son Unkempt

By Raisa Okwaras A Kenyan lady working abroad has been left heartbroken after she returned home only to find her son in a shabby state after constantly sending home all her earnings. The money was meant to cover her son’s upkeep and other expenses. According to the mother, she works very hard to fend for […]

Categories
Feature Stories

Tana River: Father on the Run After Defiling Daughters

By Raisa Okwaras A father of two daughters aged 18 and 13 in Tana River has been on the run after defiling his daughters for four years and five months respectively. According to a guardian who rescued the children, the culprit had been defiling the eldest daughter for over four years and the younger one […]

Categories
Uncategorized

Children and Teenagers Should Be Equipped with Various Skills to Stop Unemployment in Future

The United Nations describes youth as people between the age of 15 and 24 years of age. Africa has the youngest population in the world with a median age of 19.7 years. As the world marked World Youth Skills day on the 15th of this month. This year’s theme is to provide a unique opportunity […]

Categories
Education

Elimu Sawa kwa Jinsia Zote

Kutokana na utafiti wa hivi karibuni, wasichana asilimia 76 ndio walio na fursa ya kupata elimu ikilinganishwa na asilimia 88 ya wavulana ambao hupata fursa hiyo. Kulingana na UNICEF, umaskini ndio sababu kuu inayofanya wasichana kukosa elimu. Kwa sababu hii, wazazi wanakosa kuwapeleka watoto wao hususan wasichana shuleni iwapo hawana karo. Aidha, umaskini huu pia […]