mtoto.news

Categories
Uncategorized

Wanafunzi wasaidiwe na wazazi kuchagua shule za upili za daraja ya chini

Huku wanafunzi wa gradi la sita wakichagua shule za upili za daraja la pili, ambayo ilianza tarehe 15 hadi tarehe 30, Agosti. Wanafunzi hawa wanafaa kupewa mawaidha maalum wanapofanya uchaguzi huu. Hii ni kwa sababu wanafunzi hawa bado ni wachanga na ni vyema walimu, walezi na wazazi kuingilia kati na kuweza kuwasaidia katika uchaguzi huu. […]

Categories
Uncategorized

Tuwache kubagua watoto albino kwa sababu pia hao wanaweza kufaulu maishani.

Kulingana na ripoti ya Deutsche Welle, zeruzeru au kwa kingereza albino husababishwa na upungufu wa chembechembe za rangi ya ngozi, nywele na hata macho. Hali hii ya zeruzeru hutokea ikiwa kuna historia ya hali hiyo katika familia. Albino aghalabu wana matatizo ya macho. Hii ni kuwa huwa hawaoni mbali au hawaoni karibu japo miwani huweza […]

Categories
Fact Checks

Let’s create more awareness on child trafficking.

Child trafficking is when children and young people are tricked, forced or persuaded to leave their homes to be exploited and forced to work. The number of children trafficked around the world is estimated at 5.5 million as they suffer violence, exploitation and abuse which leads to forced marriage, prostitution, domestic slavery, begging and armed […]