Kulingana na ripoti ya UNICEF Takriban watoto milioni 8 walio chini ya umri wa miaka 5 wako katika hatari ya kufa kutokana na utapiamlo mkali. Kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, bei ya vyakula imepanda kwa kasi mwaka huu kutokana na vita vya Ukraine, huku ukame unaohusishwa na mabadiliko ya hali ya […]
