Mashirika ya kijamii (CSOs) katika kaunti ya Kajiado yameanzisha vituo 94 vya uokoaji kwa watoto wanaoepuka mila mibaya kama vile Ukeketaji (FGM) na Ndoa za Mapema katika kaunti hiyo. Katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, Mkurugenzi wa Kitaifa wa Compassion International Kenya, Samuel Wambugu alisema kwamba, vituo hivyo ni muhimu katika kuelimisha jamii juu ya madhara […]
