Mke wa Rais, Margaret Kenyatta, amesema kwamba, watoto lazima wapewe kipaumbele cha juu nchini ili waweze kufikia lengo la kuhakikisha upatikanaji wa fursa sawa na ushirikishwaji wa wananchi wote. “Ufikiaji bila ubaguzi hautaondoa tu ubaguzi na unyanyapaa, bali utawapa watoto wetu ujuzi unaohitajika ili kuwasaidia katika kutatua matatizo yao,” alisema Mke wa Rais Margaret Kenyatta. […]
