Wakaazi wa Rongai, hivi leo wameamka na habari ya kushtua kufuatia tukio lililotokea katika eneo hilo asubuhi. Walakini, kama ilivyoripotiwa na vyanzo vingi, inaonekana kuwa mwanamke aliwaua watoto wake wawili na kumwacha mumewe katika hali mbaya baada ya kuendelea na kusitasita juu ya shida za nyumbani. Hata hivyo imesemekana kuwa mwanamke huyo alionekana akijaribu kujiua […]
Category: Uncategorized
Zaidi ya watoto milioni saba walio chini ya umri wa miaka mitano wamesalia na utapiamlo na wanahitaji msaada wa haraka wa lishe, na zaidi ya wavulana na wasichana milioni 1.9 wako katika hatari ya kufariki kutokana na utapiamlo mkali . Jamii zilizo katika mazingira magumu zimepoteza ng’ombe, mazao, na maisha mengi katika kipindi cha miaka […]
Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir ametangaza huduma za afya bila malipo kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika Hospitali ya Rufaa ya Pwani (CGTRH) na vituo vyake vyote vya mawasiliano. Nasir pia alifichua kuwa kaunti imeanza mipango ya kuanza kugharamia bili za matibabu kwa wagonjwa walio na mahitaji na vile vile kusajili […]
Wanaharakati wa kutetea haki za watoto katika kaunti ya Bungoma wamewataka Magavana kutenga pesa kusaidia mipango ya watoto katika kaunti hiyo. Akizungumza katika shule ya Xavarian Brothers’s kaunti ya Bungoma wakati wa kongamano la watoto David Lupao mwenyekiti wa shirika la kutetea haki za watoto kaunti ya Bungoma BCCRN amesema kuwa watoto wengi wanakumbwa na […]

Children participants in the African Children Summit on Wednesday presented and handled over Kigali Declaration on Child Care and Protection Reform to policy makers in UN, AU, the Judiciary and the committee on the Rights and Welfare of African Child. The children hope that with the Declaration in hands of policy makers the challenges and […]

“In today’s world children have become strong advocates and change makers where they stand up for their right to education, speak up against violence, and fight for climate and social justice.” Says Daniel Mulati, Summit Coordinator and Child Participation Manager at Mtoto News, earlier today on 6th April 2023 at a press conference in […]
Uchunguzi uliofanywa na Ofisi ya Kamishna wa Habari (ICO) uligundua kuwa programu hiyo ya kushiriki video ilikiuka sheria ya ulinzi wa data. Inasema kuwa, ukiukaji huo ulifanyika kati ya Mei 2018 na Julai 2020. Mnamo Septemba, ICO iliwapa TikTok “notisi ya dhamira” – mtangulizi wa kutoa faini inayoweza kutokea. ICO inakadiria kuwa, TikTok iliruhusu hadi […]
Wadau na wazazi walio na watoto walioathiriwa na usonji wamejitokeza na kutoa wito kwa serikali ya kitaifa na kaunti kuweka vifaa vitakavyowahudumia na kusaidia katika maendeleo ya watoto hao. Akihutubia wanahabari huko Uriri wakati wa Siku ya Autism Duniani, Caroline Kisuge wa Jonathan Rays of Hope alisema kuwa nchi haina vifaa vya kujifunzia ambavyo vinaweza […]
IDARA ya Huduma kwa Watoto katika Kaunti ya Samburu imeanza juhudi za kuunda Sera ya Ulinzi wa Mtoto ambayo inawiana na changamoto za kipekee zinazowakabili watoto. Akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Mtandao wa Ulinzi wa Mtoto wa Samburu (CPN), Afisa wa Watoto wa Samburu Peter Mwangi alisema kuwa uundaji wa CPN unalenga kuwaleta […]
Maji ni uhai, vile vile maji ni jambo muhimu mno katika maisha ya binadamu, Usafi wa mazingira na usafi kwa ujumla huzuia ueneaji wa magonjwa na maambukizi mbali mbali. Na iwapo maji yatakosekana, basi mahitaji mengi ya kimsingi pia yatakosekana. Watoto wengi hufa kutokana na ugonjwa wa kuhara, elimu yao huvurugika au kukwama, na utapiamlo […]