mtoto.news

Categories
Education Education education

Gachagua: CBC haiendi popote

Naibu Rais Gachagua

Naibu Rais Rigathi Gachagua amethibitisha kuwa Mtaala wa Kuzingatia Umahiri (CBC) hautafutiliwa mbali.

Akizungumza Jumatano katika Taasisi ya Utafiti ya Cemastea, Gachagua alisema kwamba, serikali itaboresha zaidi CBC.

“CBC haiendi popote, haijafutwa bali itaboreshwa tu,” alisema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *