mtoto.news

Categories
Uncategorized

Utahakikishaje kuwa talaka haiathiri maisha ya mtoto wako?

Kulingana na utafiti watu wanne kati ya elfu ulimwenguni waliofunga ndoa wamepitia talaka, na mara nyingi talaka hizi huathiri watoto. Athari za talaka kwa watoto ni nyingi mno, ila utajitahidi vipi katika kuhakikisha kuwa talaka haitamwathiri mtoto wako? La kwanza kabisa, ni kujizatiti katika kutowaangazia watoto kwenye mapigano yasiyoisha, au vita vya chuki vilopita mpaka. […]