Vituo vya afya nchini Kenya vimekuwa vikikumbana na uhaba mkubwa wa chanjo muhimu za watoto, huku ripoti zikizidi kujitokeza kutoka katika kaunti kadhaa. Mashirika ya kijamii katika kaunti sita yaliripoti suala hili zaidi ya wiki mbili zilizopita, na upungufu huo sasa unapanuka zaidi, ukiiacha mipango ya msingi ya chanjo kuwa hatarini. Akithibitisha upungufu huo, Waziri […]
Tag: Watoto
IDARA ya Huduma kwa Watoto katika Kaunti ya Samburu imeanza juhudi za kuunda Sera ya Ulinzi wa Mtoto ambayo inawiana na changamoto za kipekee zinazowakabili watoto. Akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Mtandao wa Ulinzi wa Mtoto wa Samburu (CPN), Afisa wa Watoto wa Samburu Peter Mwangi alisema kuwa uundaji wa CPN unalenga kuwaleta […]