mtoto.news

Categories
Uncategorized

Kenya: Magavana Kutenga Fedha kwa Ajili ya Programu za Watoto

Wanaharakati wa kutetea haki za watoto katika kaunti ya Bungoma wamewataka Magavana kutenga pesa kusaidia mipango ya watoto katika kaunti hiyo. Akizungumza katika shule ya Xavarian Brothers’s kaunti ya Bungoma wakati wa kongamano la watoto David Lupao mwenyekiti wa shirika la kutetea haki za watoto kaunti ya Bungoma BCCRN amesema kuwa watoto wengi wanakumbwa na […]