Mwanamume mmoja anayeshukiwa kusambaza ponografia ya watoto amekamatwa katika eneo la Majengo, Mombasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), mshukiwa huyo, Ramadhan Yahya Hussein, mwenye umri wa miaka 26, alikamatwa kufuatia taarifa kutoka Kituo cha Kitaifa cha Watoto Waliopotea na Waliodhalilishwa (NCMEC). “Hussein amekuwa akisambaza ponografia ya watoto […]
