Kamati ya Kimataifa ya Maendeleo ya Watu (CISP) imezindua mradi wa Tetea hapo jana tarehe 20 mwezi juni, unaofadhiliwa na Muungano wa Ulaya wa kulinda wanawake na watoto dhidi ya dhuluma katika Kaunti ya Kakamega. Mradi huo utatekelezwa na CISP kwa ushirikiano na Shirika Lisilo la Kiserikali la eneo hilo, Kakamega County Widows Empowerment […]
Tag: child abuse
Familia moja kutoka Kaunti ya Homa Bay, eneo bunge la Ndhiwa, inatafuta haki kwa binti yao mwenye umri wa miaka 17 anayedaiwa kunajisiwa na kundi la wanaume sita. Mwathiriwa kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kaunti ya Homa Bay ambapo alikimbizwa akiwa na majeraha baada ya kisa hicho kilichotokea Jumatatu usiku […]
Watoto hupitia aina kadha wa kadha za ukatili, unyonyaji na hata unyanyasaji. Hutokea katika kila nchi, na katika maeneo ambayo watoto wanapaswa kulindwa zaidi, aidha ni majumbani mwao, shuleni na hata mitandaoni. Wakaazi wa jamii ya Samia katika Kaunti ya Busia wamehimizwa kuweka kipaumbele ulinzi wa watoto ili kupunguza visa vya unyanyasaji wa watoto na […]
Kiongozi wa madhehebu ya kidini nchini Kenya anayedaiwa kuwachochea wafuasi kufa kwa njaa anakabiliwa na mashtaka ya ziada ikiwemo ugaidi na ulanguzi wa watoto. Aliyejiita kasisi Paul Nthenge Mackenzie, ambaye alianzisha kanisa la Good News International Church mwaka wa 2003, alifikishwa mahakamani siku ya Jumanne. Nthenge anashtakiwa kwa kuchochea wafuasi kufa njaa ili “kumlaki Yesu”. […]

An ex-Director of a Children’s home situated in Mihango in Nairobi’s Utawala area has been sentenced to 100 years imprisonment for defiling four minors for seven years. All the minors were below thirteen years old at the time of the act. Stephen Nzuki Mutisya, 29, was found guilty by the Milimani Law Courts in Nairobi […]