“Wanasiasa hutuhusisha kwenye siasa pale tu wanapotaka kuzusha vurugu, hapo ndipo wanakuja na pesa huku wakitutaka tuanzishe ugomvi mahali fulani.” Wycliffe mtoto kutoka maeneo ya Dandora, Jijini Nairobi analalamika jinsi wanasiasa hawawashughulishi watoto kwenye mchakato wa uchaguzi, au kuwahusisha kwa mambo yenye manufaa, kama vile kutaka kujua shida zao za kimsingi, Ila wanasiasa hawa huwapatia […]