mtoto.news

Categories
Child Rights Latest News

Kesi ya Wizi wa Watoto Dhidi ya Deya imesogezwa hadi Aprili

Askofu Deya

Mahakama ya Nairobi imeahirisha kesi ya wizi wa watoto dhidi ya Askofu Gilbert Juma Deya baada ya hakimu wa mahakama kusema  alikuwa mgonjwa.


Deya, ambaye alifika mbele ya hakimu mkuu mwandamizi wa Milimani Robison Ondieki hapo jana, alikuwa tayari kwa kusikilizwa na kujitetea pamoja na wakili wake John Swaka. Mwendesha mashtaka mkuu wa serikali Nicholas Mutuku alisema pia yuko tayari kumhoji mshtakiwa katika utetezi wake. Hata hivyo Hakimu alisema kuwa, hajisikii vizuri na hivyo akaomba kuahirisha kesi hiyo.

One reply on “Kesi ya Wizi wa Watoto Dhidi ya Deya imesogezwa hadi Aprili”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *