ChildFund International na Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) wametia saini mkataba wa kuhamasisha sekta ya kibinafsi na ya umma kusaidia kuunda mazingira salama ya mtandaoni kwa watoto. Hii inafuatia kuongezeka kwa visa vya unyonyaji na unyanyasaji wa watoto mtandaoni kupitia teknolojia ya kidijitali. ChildFund inaongoza msukumo wa sera na sheria za kukomesha unyanyasaji wa […]
Tag: Child safety policies
IDARA ya Huduma kwa Watoto katika Kaunti ya Samburu imeanza juhudi za kuunda Sera ya Ulinzi wa Mtoto ambayo inawiana na changamoto za kipekee zinazowakabili watoto. Akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Mtandao wa Ulinzi wa Mtoto wa Samburu (CPN), Afisa wa Watoto wa Samburu Peter Mwangi alisema kuwa uundaji wa CPN unalenga kuwaleta […]