Mnamo 2022, tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka kumi tangu kuzaliwa kwa Siku ya Kimataifa ya Msichana (IDG). Katika miaka hii 10 iliyopita, kumekuwa na umakini mkubwa katika masuala ambayo ni muhimu kwa wasichana, haswa miongoni mwa serikali, watunga sera na umma kwa ujumla, pia kumekuwa na umuhimu chanya katika kuwapa wasichana fursa zaidi kwa kusikilizwa sauti zao katika […]