mtoto.news

Categories
Op-ed

Waweza fanya nini ili kumlinda mtoto wako dhidi ya ulawiti au udhalilishaji?

Je unaweza vipi kumlinda mtoto wako asilawitiwe? Au utangoja uje kujenga ukuta badala ya kuziba ufa? Mara nyingi wazazi katika jamii zetu husahau kwamba, watoto ndio walio  hatarini zaidi ya kulawitiwa, ila wengi wao hutia pamba masikioni wakajifanya hamnazo hadi wakati watoto wao watakuwa waathiriwa wa udhalilishaji wa kijinsi au kingono.  Bila shaka, Kinga ni […]