Kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2007/2008,Tume ya Uchunguzi kuhusu Ghasia za Baada ya Uchaguzi (CIPEV), ilirekodi kesi 900 za unyanyasaji wa kijinsia unaofanywa na maafisa wa usalama, vikundi vya wanamgambo na raia dhidi ya wanaume, wavulana, wanawake na wasichana katika muktadha wa unyanyasaji mkubwa, uhamishaji wa watu wengi na vifo zaidi […]