Mahakama kuu jijini Nairobi imepiga marufuku kwa serikali kutoa chanjo dhidi ya Covid-19 kwa watoto walio chini ya miaka 18 pasipo na ruhusa ya wazazi wao. Jaji Anthony Mrima alitoa maagizo hayo katika kesi iliyofunguliwa na wazazi 11 ambao walidai kuwa hawakushauriwa wala kuombwa ridhaa kabla ya watoto wao kupewa chanjo. Kufuatia agizo hilo, Wizara […]