mtoto.news

Categories
Data Stories Health

Mataifa 12 ya Afrika yaahidi kutokomeza VVU kwa watoto ifikapo mwaka 2030

Mawaziri na wawakilishi kutoka nchi 12 za Afrika wamejitolea  na kuweka mipango ya kumaliza UKIMWI kwa watoto ifikapo mwaka 2030. Nchi hizo ziliahidi kwamba, zitahakikisha watoto wote wenye VVU wanapata matibabu ya kuokoa maisha na hata akina mama wanaoishi na ugonjwa huo hawataweza kuwasambazia watoto wao. Katika taarifa ya pamoja baada ya mkutano ulioandaliwa na Tanzania, washirika wa […]