mtoto.news

Categories
Latest News

Gilbert Deya: Mchungaji kutoka Kenya afutiwa mashtaka ya ulanguzi wa watoto

Mwinjilisti aliye na utata nchini Kenya, ameondolewa mashtaka ya ulanguzi wa watoto kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha. Hakimu wa Kenya alieleza kwamba, upande wa mashtaka ulishindwa kuthibitisha kuwa Gilbert Deya aliwaiba watoto watano miongo miwili iliyopita, . Mwinjilisti huyo alishutumiwa kwa kuwakabidhi watoto hao kwa wanawake waliokuwa wakihangaika kupata mimba. Mchungaji huyo alihamishwa […]