mtoto.news

Categories
Latest News

Takriban Watoto 6500 Hupotea Kila Mwaka Nchini Kenya

Wakati ulimwengu unajiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya watoto waliopotea, takwimu zimeonyesha kuwa, takriban watoto 6500 hupotea kila mwaka nchini Kenya, hii ni sawa na watoto 18 kila siku. Polisi wanasema kwamba, idadi hiyo inaweza kuwa kubwa zaidi ikizingatiwa kwamba watoto wengi zaidi waliopotea hawaripotiwi kamwe. Polisi sasa wanawataka wananchi kuripoti watoto waliopotea ili kupata […]