mtoto.news

Categories
Data Stories Latest News

Hatua Za Kuhakikisha Usalama wa Watoto walio Katika Jamii Zilizoathiriwa na Hali ya Hewa.

Takriban watoto bilioni moja walio na umri wa miaka 2-17 huathiriwa na ukatili wa kimwili, kingono, au kihisia kila mwaka.

Categories
Latest News

2 Deserted Children Under 3 Rescued in Meru

Two male children under 3 years of age were rescued by Children officials in Meru County’s Maua town after their mother abandoned them. According to Igembe children’s officer John Mwangi, rescuers found the hungry boys in their single-roomed house in Kiutine market in Igembe Central, Meru county. Mukami, their mother, had woken up and left […]

Categories
Feature Stories

Ukiukaji wa haki za watoto unafaa kuangaliwa.

Ukiukaji wa haki za watoto umeendelea kuwa tishio sugu. Hii imeonyeshwa na shirika la WHO ambayo inasema kuwa kimataifa, inakadiriwa kuwa watoto milioni moja kutoka miaka miwili hadi kumi na saba ndio wamepitia ukiukaji wa haki kimwili, kihisia na pia kingono. https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/violence-against-children Nchini Kenya, ukiukaji wa haki za watoto hususan hutokea nyumbani, shuleni na pia […]

Categories
Education

Vilabu vya shule vinasaidia katika kukuza talanta ya watoto.

Katika nchi ya Kenya, kutoka shule ya msingi na upili shughuli za ziada za masomo hufanyiwa katika vilabu vya shule. Shughuli hizi mara nyingi huwa ni za kuwawezesha wanafunzi kujaribu kufanya vitu tofauti na masomo. Mifano ya shughuli hizi ni kama kucheza mpira, kushona nguo, kuchora, kucheza vifaa za muziki na kadhalika. Aidha, vilabu hizi […]

Categories
Uncategorized

Wanafunzi wasaidiwe na wazazi kuchagua shule za upili za daraja ya chini

Huku wanafunzi wa gradi la sita wakichagua shule za upili za daraja la pili, ambayo ilianza tarehe 15 hadi tarehe 30, Agosti. Wanafunzi hawa wanafaa kupewa mawaidha maalum wanapofanya uchaguzi huu. Hii ni kwa sababu wanafunzi hawa bado ni wachanga na ni vyema walimu, walezi na wazazi kuingilia kati na kuweza kuwasaidia katika uchaguzi huu. […]