mtoto.news

Categories
Child Rights

Je, Malezi ya Watoto Katika Jamii ni Bora Kuliko Katika Nyumba za Hisani za Watoto?

Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto katika utangulizi wake unasema “…mtoto, kwa ajili ya ukuaji kamili na wenye uwiano wa utu wake, anapaswa kukua katika mazingira ya familia, katika mazingira ya furaha, upendo na uelewano”. Haki hii imesalia kuwa ngumu kwa takriban watoto 40,000 ambao wanaripotiwa kuhifadhiwa katika taasisi za watoto za […]

Categories
Child Rights Uncategorized

Mahakama Kushughulikia Upya Kesi za Akina Mama Walio na Watoto Gerezani

Idara ya Jimbo la Huduma za Urekebishaji na Idara ya Mahakama zimeanza kushughulikia kuondoa msongamano magerezani hasa katika mchakato unaolenga wakosaji wa uhalifu mdogo mdogo, pamoja na akina mama. Katibu Mkuu katika Idara hiyo Mary Muthoni,  alifanya ziara ya ghafla hapo Jumatatu katika Gereza la Nakuru ambapo alisema kwamba, hatua hiyo ililenga kupunguza mateso ya watoto […]

Categories
Latest News Uncategorized

Kenya: Elimu ya mtoto ipo hatarini nyakati za ukame na mabadiliko ya hali ya hewa

Huku ukame unaendelea kuathiri kaunti tofauti tofauti nchini Kenya, watoto ndio wanaoendelea kubeba mzigo mkubwa wa athari za mabadiliko ya hali ya anga.

Categories
Education Education education latest latest Latest News

Ni Ipi Hatima ya CBC Baada ya William Ruto Kuapishwa?

Hatima ya Mtaala Unaozingatia Umahiri (CBC) sasa iko kwenye jopokazi litakaloanzishwa wiki ijayo na Rais mpya William Ruto ambaye alichukua uongozi Jumanne. Ruto alisema kwamba, ataunda Kikosi maalum ili kubaini utendakazi wa mpango huo uliozinduliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta mnamo 2018. Mpango huo umekosolewa vikali na washikadau ambao walishutumu utawala wa Kenyatta kwa kukosa […]

Categories
Latest News

2 Deserted Children Under 3 Rescued in Meru

Two male children under 3 years of age were rescued by Children officials in Meru County’s Maua town after their mother abandoned them. According to Igembe children’s officer John Mwangi, rescuers found the hungry boys in their single-roomed house in Kiutine market in Igembe Central, Meru county. Mukami, their mother, had woken up and left […]