Waziri wa mawasiliano Joe Mucheru amewalaumu wazazi kwa kukosa kukagua wavuti wanazoingia watoto wao. Alisema haya mwaka jana katika hafla ya uzinduzi wa programu ya kuwalinda watoto mitandaoni, iliyoasisiwa na Mama wa Taifa, Bi Margaret Kenyatta jijini Nairobi. Aliongezea alisema kuwa, kuweka nywila(pini) kwenye simu na vifaa za wavuti, sio suluhisho tu ya kuwalinda watoto […]
