mtoto.news

Categories
Health latest latest Latest News

Uganda: Shule kufungwa mapema baada ya watoto wanane kufariki kwa Ebola

Shule zote nchini Uganda zitafungwa wiki mbili kabla ya muhula uliopangwa kukamilika baada ya visa 23 vya Ebola kuthibitishwa miongoni mwa wanafunzi, wakiwemo watoto wanane waliofariki. Waziri wa Elimu Janet Kataha Museveni alisema Jumanne kwamba baraza la mawaziri lilichukua uamuzi wa kufunga shule za awali, shule za msingi na shule za upili mnamo Novemba 25 kwa […]