mtoto.news

Categories
Child Rights Latest News

GAZA: Zaidi ya Watoto 4,600 Wauwawa huku Karibia 9000 Wajeruhiwa

Mnamo juzi tarehe 15 mwezi wa 11, mwaka wa 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Catherine Russell alifanya Ziara maeneo ya Gaza ili kukutana na watoto, familia zao na wafanyakazi wa UNICEF. “Nilichoona na kusikia kilinihuzunisha sana. Wakaazi wa Gaza wamestahimili mashambulizi ya mara kwa mara, hii ikiwemo kuuwawa, kupoteana na familia zao, Kufukuzwa majumbani mwao […]

Categories
Child Rights latest latest Latest News

Takriban watoto 100,000 waathiriwa na mtetemeko wa ardhi nchini Morocco

Ripoti za awali zinaonyesha kwamba takriban watoto 100,000 wameathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Moroko Ijumaa usiku wa kuamkia leo. Hilo ni tukio kubwa zaidi la tetemeko kuwahi kukumba eneo hilo tangu mwaka wa 1960. Kama ilivyo kwa matetemeko yote makubwa ya ardhi, kuna uwezekano wa kutokea mitetemeko ya baadaye katika siku na wiki […]

Categories
Child Rights Latest News

Goma DRC: Nasaha ya Uhuru Kenyatta Juu ya Kuwaepusha Watoto na Vita.

  Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta Jumanne alienda karibu na eneo la vita huko Goma na Rutshuru, Kivu Kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo aliwasihi wapiganaji kukomesha vita huku akikutana na watu waliokimbia makazi yao wakitoroka mapigano. Bw Kenyatta, ambaye ni mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye nchi saba, alialikwa […]