Kamati ya Kimataifa ya Maendeleo ya Watu (CISP) imezindua mradi wa Tetea hapo jana tarehe 20 mwezi juni, unaofadhiliwa na Muungano wa Ulaya wa kulinda wanawake na watoto dhidi ya dhuluma katika Kaunti ya Kakamega. Mradi huo utatekelezwa na CISP kwa ushirikiano na Shirika Lisilo la Kiserikali la eneo hilo, Kakamega County Widows Empowerment […]
Tag: Gender-Based violence
Watoto hupitia aina kadha wa kadha za ukatili, unyonyaji na hata unyanyasaji. Hutokea katika kila nchi, na katika maeneo ambayo watoto wanapaswa kulindwa zaidi, aidha ni majumbani mwao, shuleni na hata mitandaoni. Wakaazi wa jamii ya Samia katika Kaunti ya Busia wamehimizwa kuweka kipaumbele ulinzi wa watoto ili kupunguza visa vya unyanyasaji wa watoto na […]
Wadau wa elimu katika Kaunti ya Murang’a wamekutana ili kujadiliana kuhusu jinsi ya kupunguza Unyanyasaji wa Kijinsia (GBV) katika juhudi za kuimarisha ubora wa elimu. Wakati wa mkutano wa uhamasishaji uliofanyika Jumatatu katika Shule ya Msingi ya Teknolojia mjini Murang’a, Mkurugenzi wa Elimu kaunti ndogo ya Murang’a Mashariki Samuel Ruitha alisema kuwa watoto wameathiriwa na GBV […]
Unyanyasaji wa kijinsia na kesi za mauaji ya wanawake zinaendelea kuongezeka nchini Afrika Kusini huku wanaume “wakatili” nchini humo wakiwalenga watoto na wanawake wazee. “Katika siku za hivi majuzi tumeona visa vya ubakaji na mauaji ya vikongwe, mama na nyanya zetu ambao wanakusudiwa kuheshimiwa na kutendewa utu,” Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa, asema. Ameyazungumza […]