mtoto.news

Categories
Latest News

Lishe Bora Unaponyonyesha: Vyakula Muhimu vya Kukumbatia na Kuepuka

Kula vyakula vyenye lishe bora wakati wa kunyonyesha huwanufaisha si kina mama tu, bali pia watoto wao. Ila ni vyakula vipi bora vinavyofaa kuliwa wakati wa kunyonyesha? Lishe yenye afya inapaswa kuwa na kiasi kikubwa cha kalsiamu, chuma, potasiamu, na vitamini A na D. Wakinamama wanaonyonyesha wanapaswa kujitahidi kupata virutubishi hivyo kupitia aina mbalimbali za […]