mtoto.news

Categories
Uncategorized

Je malezi ya mtoto nyumbani ni bora kuliko ya taasisi za watoto?

Kwa Sheria mpya ya Watoto na miongozo, serikali inadokeza kwamba familia ni mazingira ya malezi na ya kujali na ni mahali pazuri pa kumlea mtoto. Hivi sasa kuna usitishaji wa usajili wa taasisi mpya na Sheria ya Mtoto, 2022 inayotoa kipaumbele kwa matunzo mbadala ya kifamilia, tofauti na kukuzwa kwa watoto katika Makazi ya Watoto. […]