Idara ya Jimbo la Huduma za Urekebishaji na Idara ya Mahakama zimeanza kushughulikia kuondoa msongamano magerezani hasa katika mchakato unaolenga wakosaji wa uhalifu mdogo mdogo, pamoja na akina mama. Katibu Mkuu katika Idara hiyo Mary Muthoni, alifanya ziara ya ghafla hapo Jumatatu katika Gereza la Nakuru ambapo alisema kwamba, hatua hiyo ililenga kupunguza mateso ya watoto […]
Category: Uncategorized
Kulingana na baraza la DRC (Danish Refugee Council), watu Milioni 2.1 kwa sasa wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika maeneo ya wafugaji kaskazini mwa Kenya. Viwango vya utapiamlo vinaongezeka kwa kasi, huku ikijumuisha takriban watoto 652,960 wenye umri wa miezi 6-59 na wanawake 96,480 wajawazito na wanaonyonyesha wanaohitaji matibabu ya utapiamlo uliokithiri (data ya […]
Wanafunzi wote washarudi majumbani mwao kwa likizo ndefu ambayo inakusudiwa kumalizika mwisho wa January mwaka Ujao. Hofu na wasiwasi unaongezeka juu ya utovu wa nidhamu wa watoto wakati huu wa likizo ndefu kwani mara nyingi shule huwafanya watoto kuwa na shughuli nyingi na huwaweka mbali na maovu, na hivyo kupunguza shinikizo kwa wazazi. Na hivyo, […]
Huku ukame unaendelea kuathiri kaunti tofauti tofauti nchini Kenya, watoto ndio wanaoendelea kubeba mzigo mkubwa wa athari za mabadiliko ya hali ya anga.
New analysis by the World Health Organization (WHO) has found that the number of reported disease outbreaks and climate-related health emergencies in the greater Horn Africa have reached their highest-ever level this century, deepening a health crisis in a region where 47 million people are already facing acute hunger. Most parts of the region […]
Unyanyasaji wa kijinsia na kesi za mauaji ya wanawake zinaendelea kuongezeka nchini Afrika Kusini huku wanaume “wakatili” nchini humo wakiwalenga watoto na wanawake wazee. “Katika siku za hivi majuzi tumeona visa vya ubakaji na mauaji ya vikongwe, mama na nyanya zetu ambao wanakusudiwa kuheshimiwa na kutendewa utu,” Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa, asema. Ameyazungumza […]
Mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU/Ukimwi kutoka kwa mama hadi kwa mtoto huko Busia na Bungoma yalishinikizwa baada ya USAID Dumisha Afya kuanzishwa katika kaunti hizo mbili ili kuharakisha uhamasishaji na mipango ya kujenga uwezo katika ukusanyaji wa data. Kwa mujibu wa mkuu wa chama cha USAID Dumisha Afya mradi Dk. Eveline Ashiono alisema […]
UNICEF imeonya kwamba, ukosefu wa mvua nchini Kenya kumewasababisha watoto wapatao milioni 1.4 kukosa chakula chenye lishe bora, na maji safi ya kunywa. Watoto hao pia wanakosa elimu, huduma za afya na ulinzi dhidi ya ukatili na kutelekezwa. Turkana ni miongoni mwa kaunti 15 zilizokumbwa na ukame nchini Kenya kutokana na mabadiliko ya hali ya […]
Takriban watoto milioni 16.4 nchini Kenya, ambayo ni sawa na asilimia 67 ya idadi ya watoto nchini humo, wameathiriwa na umaskini na athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa.
Chanzo cha moto katika shule ya bweni huko Mukono, mashariki mwa mji mkuu, Kampala, kinachunguzwa huku watoto wanne wako katika hali mbaya na wanatibiwa hospitalini. Wazazi waliofadhaika wamekusanyika kwenye tovuti. Dkt Moses Keeya, anayefanya kazi katika hospitali ya eneo hilo iliyopokea majeruhi kwa mara ya kwanza, alisema “walipata majeraha mengi kwenye mikono, miguu na kifua. […]