mtoto.news

Categories
Uncategorized

TikTok Yatozwa Faini ya Karibu Kshs Trilioni 2 kwa Kushindwa Kulinda Faragha ya Watoto

Uchunguzi uliofanywa na Ofisi ya Kamishna wa Habari (ICO) uligundua kuwa programu hiyo ya kushiriki video ilikiuka sheria ya ulinzi wa data. Inasema kuwa, ukiukaji huo ulifanyika kati ya Mei 2018 na Julai 2020. Mnamo Septemba, ICO iliwapa TikTok  “notisi ya dhamira” – mtangulizi wa kutoa faini inayoweza kutokea. ICO inakadiria kuwa, TikTok iliruhusu hadi […]

Categories
Child Rights Health Uncategorized

Ukosefu wa Vifaa vya Kutosha vya Kusaidia na Kuhudumia Watoto Walio na Tawahudi

Wadau na wazazi walio na watoto walioathiriwa na usonji wamejitokeza na kutoa wito kwa serikali ya kitaifa na kaunti kuweka vifaa vitakavyowahudumia na kusaidia katika maendeleo ya watoto hao. Akihutubia wanahabari huko Uriri wakati wa Siku ya Autism Duniani, Caroline Kisuge wa Jonathan Rays of Hope alisema kuwa nchi haina vifaa vya kujifunzia ambavyo vinaweza […]

Categories
Child Rights FGM Uncategorized

Sera Ya Ulinzi Wa Watoto Katika Kaunti Ya Samburu Yaendelea

IDARA ya Huduma kwa Watoto katika Kaunti ya Samburu imeanza juhudi za kuunda Sera ya Ulinzi wa Mtoto ambayo inawiana na changamoto za kipekee zinazowakabili watoto. Akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Mtandao wa Ulinzi wa Mtoto wa Samburu (CPN), Afisa wa Watoto wa Samburu Peter Mwangi alisema kuwa uundaji wa CPN unalenga kuwaleta […]

Categories
Uncategorized

Ripoti ya UNICEF: Mamilioni ya Watoto Wanakosa Vyoo Visafi na Maji Safi

Maji ni uhai, vile vile maji ni jambo muhimu mno katika maisha ya binadamu, Usafi wa mazingira na usafi kwa ujumla huzuia ueneaji wa magonjwa na maambukizi mbali mbali. Na iwapo maji yatakosekana, basi mahitaji mengi ya kimsingi pia yatakosekana. Watoto wengi hufa kutokana na ugonjwa wa kuhara, elimu yao huvurugika au kukwama, na utapiamlo […]

Categories
Education Uncategorized

Je elimu ya ngono ni muhimu kwa watoto?

  Kulingana na Utafiti wa Demografia na Afya wa Kenya wa 2022, asilimia 15 ya wasichana wenye umri wa kati ya miaka 15 na 19 wamewahi kupata mimba. Takwimu hii huongezeka kila wanakuwa wakubwa kutoka asilimia 3 kati ya watoto wa miaka 15 hadi asilimia 31 kati ya wale wenye umri wa miaka 19. Hii […]

Categories
Uncategorized

Opinion: why is important to introduce children early to money saving culture

By Ben Oroko There are many life skill  lessons parents attempt to teach their children while they are young. One such important life skills is  teaching them on how to prudently manage their money during their tender  and old age . It is critical for parents to be positive role models to their children in […]

Categories
Child Rights Uncategorized

Mahakama Kushughulikia Upya Kesi za Akina Mama Walio na Watoto Gerezani

Idara ya Jimbo la Huduma za Urekebishaji na Idara ya Mahakama zimeanza kushughulikia kuondoa msongamano magerezani hasa katika mchakato unaolenga wakosaji wa uhalifu mdogo mdogo, pamoja na akina mama. Katibu Mkuu katika Idara hiyo Mary Muthoni,  alifanya ziara ya ghafla hapo Jumatatu katika Gereza la Nakuru ambapo alisema kwamba, hatua hiyo ililenga kupunguza mateso ya watoto […]

Categories
Uncategorized

Kaskazini mwa Kenya: Zaidi ya watoto laki sita wanakabiliwa na utapiamlo mkali

Kulingana na baraza la DRC (Danish Refugee Council), watu Milioni 2.1 kwa sasa wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika maeneo ya wafugaji kaskazini mwa Kenya. Viwango vya utapiamlo vinaongezeka kwa kasi, huku ikijumuisha takriban watoto 652,960 wenye umri wa miezi 6-59 na wanawake 96,480 wajawazito na wanaonyonyesha  wanaohitaji matibabu ya utapiamlo uliokithiri (data ya […]

Categories
Uncategorized

Wazazi na Walezi Wanapaswa Kuwalinda Watoto Wakati Wa Likizo Ndefu

Wanafunzi wote washarudi majumbani mwao kwa likizo ndefu  ambayo inakusudiwa kumalizika mwisho wa January mwaka Ujao. Hofu na wasiwasi unaongezeka juu ya utovu wa nidhamu wa watoto wakati huu wa likizo ndefu kwani mara nyingi shule huwafanya watoto kuwa na shughuli nyingi na huwaweka mbali na maovu, na hivyo kupunguza shinikizo kwa wazazi. Na hivyo, […]

Categories
Latest News Uncategorized

Kenya: Elimu ya mtoto ipo hatarini nyakati za ukame na mabadiliko ya hali ya hewa

Huku ukame unaendelea kuathiri kaunti tofauti tofauti nchini Kenya, watoto ndio wanaoendelea kubeba mzigo mkubwa wa athari za mabadiliko ya hali ya anga.