mtoto.news

Categories
Health Latest News

Kenya kuanzisha hospitali maalum ya Kuhudumia masuala ya akili kwa watoto

Kenya inaanzisha kliniki maalum ya ubongo kwa watoto itakapofikia katikati ya mwaka ujao, hii ni katika juhudi za kitaifa za kukabiliana na pengo la kuwahudumia walio na mahitaji maalum kwa kuwapa matibabu ya hali ya juu. Kliniki ya Wezesha Watoto itaanzishwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi. Hospitali hiyo itakuwa wazi kwa umma […]

Categories
Health Latest News Uncategorized

Abdulswamad Nassir: Huduma za Afya Zisizo na Malipo kwa Watoto Walio Chini ya Umri wa Miaka Mitano

Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir ametangaza huduma za afya bila malipo kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika Hospitali ya Rufaa ya Pwani (CGTRH) na vituo vyake vyote vya mawasiliano. Nasir pia alifichua kuwa kaunti imeanza mipango ya kuanza kugharamia bili za matibabu kwa wagonjwa walio na mahitaji na vile vile kusajili […]

Categories
Child Rights Health Latest News

Afghanistan: Takriban Watoto Milioni Moja Wanakabiliwa na Utapiamlo Mkali

Afghanistan inasalia kuwa miongoni mwa maeneo ambayo yamepata majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani huku Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch katika ripoti ya hivi majuzi lilisema kwamba thuluthi mbili ya wakazi wa nchi ya Afghanistan wana uhaba wa chakula. “Afghanistan kwa kiasi kikubwa imetoweka kutoka kwa vyombo vya habari, lakini […]

Categories
Health Latest News

Sababu Kuu Zinazoleta Mfadhaiko na Dhiki kwa Watoto

Watu wazima wengi hua na mafikira ya kwamba, utoto na ujana ndio wakati ulio na furaha zaidi maishani, ila ukweli ni kwamba, watoto wengi na vijana wana uwezekano mkubwa wa kupata mateso ya dhiki na mafadhaiko ambazo huweza kusababisha unyogovu kwa watoto hao. Uchunguzi unaonyesha kuwa, kwa kila vijana wanne, kuna uwezekano wa kijana mmoja […]

Categories
Health Latest News

Watoto walio katika maeneo ya vijijini kupata chanjo ya surua

Washirika wa afya wako tayari kutumia mkakati wa chanjo ya nyumba hadi nyumba ili kuhakikisha watoto walio katika maeneo ya mbali wanapokea dozi za surua-rubela. Wizara ya Afya kwa ushirikiano na Unicef ​​na Gavi wanaendesha kampeni ya siku 10 ya chanjo katika kaunti saba zilizo hatarini zaidi za Mandera, Wajir, Garissa, Turkana, Pokot Magharibi na […]