Vifo vya karibu watoto 100 nchini Indonesia vimesababisha nchi hiyo kusimamisha uuzaji wa dawa zote za sharubati. Ni wiki chache tu baada ya dawa ya kikohozi nchini Gambia kuhusishwa na vifo vya karibia watoto 70. Indonesia imesema kwamba, baadhi ya dawa za sharubati zimepatikana kuwa na viambato vinavyohusishwa na majeraha ya figo (AKI), ambayo yameua […]
Tag: children health

Wizara ya afya nchini humo imesema kwamba, idadi ya vifo vya watoto vilivyotokana na Ugonjwa huo vimeongezeka hadi karibia 700.
Zaidi ya watoto milioni tatu wanahitaji msaada wa kibinadamu na wako katika hatari kubwa ya magonjwa yanayotokana na maji, kuzama na utapiamlo kutokana na mafuriko makubwa zaidi katika historia ya hivi majuzi ya Pakistan

mlipuko wa surua nchini Zimbabwe umewaua watoto 157, wengi wao wakiwa hawajachanjwa kutokana na imani za kidini za familia zao.

Mataifa 12 ya Afrika yameungana na Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa katika kuunda muungano mpya ambao utafanya kazi ya kuzuia maambukizi mapya ya VVU kwa watoto wachanga