Wakati kikundi kazi cha wanachama 49 kinajadili jinsi ya kurekebisha sekta ya elimu kwa mtaala unaozingatia umahiri kama kazi yake ya kwanza, walimu na wanafunzi katika maeneo ya mbali yaliyokumbwa na ukame wanatatizika kuendana na majukumu mapya kulingana na mtaala. Lakini kazi hizo ni kidokezo tu kwani ukosefu wa vyumba vya madarasa umefanya mchakato wa […]
Tag: CBC
Naibu Rais Rigathi Gachagua amethibitisha kuwa Mtaala wa Kuzingatia Umahiri (CBC) hautafutiliwa mbali. Akizungumza Jumatano katika Taasisi ya Utafiti ya Cemastea, Gachagua alisema kwamba, serikali itaboresha zaidi CBC. “CBC haiendi popote, haijafutwa bali itaboreshwa tu,” alisema. Aliongoza uzinduzi wa siku tatu za kuanzishwa kwa Kikosi Kazi cha Marekebisho ya Elimu. Jopokazi la wanachama 49 liliundwa na Rais William […]
Gachagua; CBC is Here to Stay

Deputy President Rigathi Gachagua yesterday said the government will not scrap the competency-based curriculum (CBC). This has come after long speculation on what would happen to the curriculum pioneered by the previous government. He was speaking at the Centre for Mathematics, Science and Technology Education (CEMASTEA) in Karen, Nairobi during the induction of 49 members […]
Wazazi wengi wameonyesha hasira yao mitandaoni baada ya picha ya wanafunzi wakitoa kuku manyoya kusambaa mitandaoni. Wananchi walionyesha wasiwasi kupitia twitter, huku wakikashifu mtaala wa CBC na wakisema kwamba, usalama wa watoto hao haukuzingatiwa kamwe, kwani kulikuwa na utumiaji wa visu na maji ya moto wakati wa matayarisho hayo ya kuku. I don't like CBC […]
Hatima ya Mtaala Unaozingatia Umahiri (CBC) sasa iko kwenye jopokazi litakaloanzishwa wiki ijayo na Rais mpya William Ruto ambaye alichukua uongozi Jumanne. Ruto alisema kwamba, ataunda Kikosi maalum ili kubaini utendakazi wa mpango huo uliozinduliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta mnamo 2018. Mpango huo umekosolewa vikali na washikadau ambao walishutumu utawala wa Kenyatta kwa kukosa […]

By Raisa Okwaras, Kenya Education Cabinet Secretary (CS) George Magoha insists that the new education curriculum is demystifying the notion that boarding schools in the country are better than day schools. He highlighted this at Kariobangi North Girls’ High School last week during the commissioning of the newly built classes for the junior secondary school […]