mtoto.news

Categories
Uncategorized

Sudan: Mafuriko, mashambulizi ya wanamgambo na njaa yatatiza masomo ya watoto

Kufuatia mvua kubwa na mafuriko nchini Sudan, makumi ya maelfu ya nyumba, visima na mashamba ya kilimo yameharibiwa huku familia 80,000 zikihitaji msaada wa kibinadamu makadirio ya Hilali Nyekundu ya Sudan (SRCS). Mashirika ya misaada yameonya kwamba, takriban kila mtoto aliye na umri wa kwenda shule nchini Sudan anakosa elimu, Baadhi ya majimbo nchini Sudan, […]