mtoto.news

Categories
Climate Change Health Latest News

Watoto wanalia njaa huku viwango vya utapiamlo vinaongezeka

Shirika la misaada la MSF limeripoti ongezeko la asilimia 33 ya wagonjwa wenye utapiamlo katika eneo kubwa la Dadaab baada ya watu kufurika kutoka Somalia iliyokumbwa na ukame. Utapiamlo miongoni mwa watoto umeongezeka, hasa katika mojawapo ya kambi kubwa zaidi za wakimbizi duniani mwaka uliopita huku wasiwasi ukiongezeka kutokana na hali mbaya zaidi katika eneo […]

Categories
Climate Change Latest News

Watoto Asilimia 28 Wahangaishwa na Utapiamlo Kaunti ya Taita Taveta

Mabadiliko ya hali ya hewa bado yanaendelea kuwa mwiba mchungu katika maeneo tofauti tofauti ya Kenya. Taita Taveta ni miongoni mwa Kaunti ambazo zinakubwa na athari hizi za mabadiliko ya hali ya hewa. Ukosefu wa maji na chakula kutokana na kukauka kwa vyanzo vya maji katika Kaunti hiyo, kumewalazimisha wakaazi wa eneo hilo kusafiri kwa […]

Categories
Child Rights Climate Change Education Education education

Zaidi ya Watoto Milioni 3.5 Kukosa Shule mnamo Januari 2023 Kutokana na Ukame :Save The Children.

  Zaidi ya watoto milioni 3.5 nchini Kenya wako kwenye hatari ya kukosa kuenda shule wakati zitakapofunguliwa kwa muhula wa kwanza hapo Januari mwaka ujao kwa sababu ya ukame unaoendelea, shirika la misaada ya kibinadamu la Save the Children limesema. Utafiti wa 2021 wa Global Out of School Children Initiative ulibaini kuwa kuna zaidi ya […]

Categories
Climate Change Latest News

About 50% of Young Africans Reconsidering having Children due to Climate Change

Almost half of young people in Africa have reconsidered having children due to climate change according to results from a UNICEF U-Report poll of 243,512 worldwide respondents. Globally, 2 in 5 young people said the impacts of climate change have made them reconsider their desire to start a family. The U-Report poll received responses from […]