mtoto.news

Categories
Education Latest News

The Sun Sets for an Era in Kenyan Education

The Kenyan education system is going through a significant change as the final group of students sits for the Kenya Certificate for Primary Education (KCPE) exams. This marks the end of the 38-year-old 8-4-4 system. However, there’s a new era on the horizon, as the Ministry of Education introduces the Competency-Based Curriculum (CBC), with a […]

Categories
Entertainment

“The Mysteries of Jabali and Sauti,”

Nairobi, Kenya – October 13, 2023 – Kenya’s first and only free-to-air TV station for children and families, Akili Kids! TV, is set to take young viewers on a captivating journey with the launch of the all-Kenyan animated series, “The Mysteries of Jabali and Sauti.” Developed and created by three leading Kenyan creative houses – […]

Categories
Child Rights Latest News

Ukiukaji wa Haki za Watoto Baada ya Wanafunzi 50 na Zaidi Kuathiriwa na Mabomu ya Machozi

Tume ya Kitaifa ya Jinsia na Usawa (NGEC) imelaani tukio la kuwarushia vitoa machozi wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kihumbuini huko Kangemi. Siku ya Jumatano, zaidi ya wanafunzi 50 walikimbizwa hospitalini baada ya polisi kuvamia vitoa machozi darasani mwao wakati wa maandamano ya kuipinga serikali. Katika taarifa iliyotolewa Alhamisi, mwenyekiti wa NGEC Joyce Mutinda […]

Categories
Child Rights Latest News

Familia Yalilia Haki Baada ya Msichana Kunajisiwa na Genge la Watu 6

Familia moja kutoka Kaunti ya Homa Bay, eneo bunge la Ndhiwa, inatafuta haki kwa binti yao mwenye umri wa miaka 17 anayedaiwa kunajisiwa na kundi la wanaume sita. Mwathiriwa kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kaunti ya Homa Bay ambapo alikimbizwa akiwa na majeraha baada ya kisa hicho kilichotokea Jumatatu usiku […]

Categories
Latest News

Takriban Watoto 6500 Hupotea Kila Mwaka Nchini Kenya

Wakati ulimwengu unajiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya watoto waliopotea, takwimu zimeonyesha kuwa, takriban watoto 6500 hupotea kila mwaka nchini Kenya, hii ni sawa na watoto 18 kila siku. Polisi wanasema kwamba, idadi hiyo inaweza kuwa kubwa zaidi ikizingatiwa kwamba watoto wengi zaidi waliopotea hawaripotiwi kamwe. Polisi sasa wanawataka wananchi kuripoti watoto waliopotea ili kupata […]

Categories
Health Latest News Uncategorized

Abdulswamad Nassir: Huduma za Afya Zisizo na Malipo kwa Watoto Walio Chini ya Umri wa Miaka Mitano

Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir ametangaza huduma za afya bila malipo kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika Hospitali ya Rufaa ya Pwani (CGTRH) na vituo vyake vyote vya mawasiliano. Nasir pia alifichua kuwa kaunti imeanza mipango ya kuanza kugharamia bili za matibabu kwa wagonjwa walio na mahitaji na vile vile kusajili […]

Categories
Child Rights Health Latest News

Afghanistan: Takriban Watoto Milioni Moja Wanakabiliwa na Utapiamlo Mkali

Afghanistan inasalia kuwa miongoni mwa maeneo ambayo yamepata majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani huku Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch katika ripoti ya hivi majuzi lilisema kwamba thuluthi mbili ya wakazi wa nchi ya Afghanistan wana uhaba wa chakula. “Afghanistan kwa kiasi kikubwa imetoweka kutoka kwa vyombo vya habari, lakini […]

Categories
Child Rights

Ulinzi wa Mtoto Lazima Upewe Kipaumbele

Watoto hupitia aina kadha wa kadha za ukatili, unyonyaji na hata unyanyasaji. Hutokea katika kila nchi, na katika maeneo ambayo watoto wanapaswa kulindwa zaidi, aidha ni majumbani mwao, shuleni na hata mitandaoni. Wakaazi wa jamii ya Samia katika Kaunti ya Busia wamehimizwa kuweka kipaumbele ulinzi wa watoto ili kupunguza visa vya unyanyasaji wa watoto na […]

Categories
Education Education education latest latest Latest News

Ruto: Kenya kuanzisha mafunzo ya lugha ya Kijerumani shuleni

Rais William Ruto ametangaza kuwa kutoka sasa, taasisi za mafunzo zitafunza lugha ya Kijerumani. Akizungumza wakati wa vyombo vya habari vilivyofanyika Ikulu, Nairobi, mkuu wa nchi alisema hatua hiyo itawezesha nchi hizo mbili kuziba pengo la lugha.  “Tulikubaliana kuanzisha ufundishaji na ujifunzaji wa Kijerumani katika taasisi za elimu ya msingi, TVET na taasisi zingine za […]

Categories
Child Rights latest latest Latest News

Unyanyasaji na Uuaji wa Watoto Katikati ya Madhehebu Yenye Mizizi Mirefu Nchini Kenya

  Mapema Aprili mwaka wa 2023, mchungaji Paul Makenzi wa Good News International mjini Kilifi, alikamatwa na maafisa wa Kurugenzi ya Upelelezi wa Jinai kwa madai ya kuua na kuwazika watoto katika makaburi ya kina kirefu.       Tangia hapo, wachunguzi wameweza kufukua miili iliyopita 110 hadi sasa, huku wengi wao wakiwa watoto. Isitoshe […]