mtoto.news

Categories
Child Rights Education Education education

Mashirika Ya Hifadhi Kutumia Sh78 Milioni Kwa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Magumu

Zaidi ya wanafunzi 12,000 wenye uhitaji kutoka kaunti za Marsabit, Isiolo, Samburu na Laikipia watanufaika na ufadhili kutoka kwa shirika la Northern Rangeland Trust (NRT) ili kufadhili elimu yao. Afisa mkuu mtendaji wa NRT Tom Lalampaa alisema kuwa, shirika hilo litatumia milioni Sh78.5 kwa wanafunzi 12,557 wanaohitaji. Bw Lalampaa alisema kuwa, wahafidhina 18 wametanguliza elimu […]

Categories
Child Rights Education

Juhudi za Kudhibiti GBV Mjini Murang’a

Wadau wa elimu katika Kaunti ya Murang’a wamekutana ili kujadiliana kuhusu jinsi ya kupunguza Unyanyasaji wa Kijinsia (GBV) katika juhudi za kuimarisha ubora wa elimu. Wakati wa mkutano wa uhamasishaji uliofanyika Jumatatu katika Shule ya Msingi ya Teknolojia mjini Murang’a, Mkurugenzi wa Elimu kaunti ndogo ya Murang’a Mashariki Samuel Ruitha  alisema kuwa watoto wameathiriwa na GBV […]

Categories
Data Stories Education Education education

Je Elimu ni Gharama?

Naam, mara nyingi kila mtu huimba, “Elimu kwa wote”, “Elimu ya bure”, ila ukweli wa mambo ni kwamba, elimu iko na bei ya juu mno, jambo linalowafanya watoto wengi wakose kupata masomo. Ahadi ya elimu ya msingi na sekondari kwa wote ni mojawapo ya Malengo ya Maendeleo Endelevu . Hata hivyo mwaka wa 2020, takriban watoto milioni 64 […]

Categories
Education Education education Latest News

Zaidi Ya Wanafunzi 4,000 Wapokea Ufadhili Uliosalia Sh. Milioni 25.5

Zaidi ya wanafunzi 4,000 kutoka eneo bunge la Isiolo Kaskazini watapokea Sh. milioni 25.5 kama ufadhili katika jitihada za kuhakikisha kwamba wanafunzi wanasalia shuleni licha ya ukame unaoshuhudiwa na gharama kubwa ya maisha nchini.     Kulingana na Mbunge wa Isiolo Kaskazini Bw Joseph Samal ambaye amezindua Sh. Milioni 25.5 za ufadhili zitakazowanufaisha wanafunzi 4,326 kutoka jimboni […]

Categories
Education Uncategorized

Je elimu ya ngono ni muhimu kwa watoto?

  Kulingana na Utafiti wa Demografia na Afya wa Kenya wa 2022, asilimia 15 ya wasichana wenye umri wa kati ya miaka 15 na 19 wamewahi kupata mimba. Takwimu hii huongezeka kila wanakuwa wakubwa kutoka asilimia 3 kati ya watoto wa miaka 15 hadi asilimia 31 kati ya wale wenye umri wa miaka 19. Hii […]

Categories
Child Rights Education Education education

Wazazi Waonywa Dhidi ya Kuwatelekeza Watoto Wao

Wazazi katika Kaunti ya Pokot Magharibi wameonywa dhidi ya kukwepa majukumu yao ya uzazi, na kuhimizwa kutanguliza elimu ili kukuza vizazi  vya kesho. Kamishna Msaidizi wa Kaunti ya Tapach (ACC) Ibrahim Masiaga alibainisha kuwa, ofisi yake imekuwa ikishughulikia visa vingi vya utelekezaji wa watoto, haswa katika suala la watoto wale waliokusudiwa kuvuka kidato cha kwanza […]

Categories
Child Rights Education Education education

Mradi Wa Kuongeza Ufikiaji wa Elimu kwa Kila Mtoto

Gavana Benjamin Cheboi ametoa shukrani zake kwa World Vision wanapoanzisha mradi wa mamilioni ya ujenzi wa shule ya kwanza ya upili katika eneo la Akoret, iliyoko Kaunti Ndogo ya Tiaty Magharibi ambayo inanuia kuimarisha elimu. Cheboi alikuwa akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika uwanja wa shule hiyo huku akiandamana na viongozi […]

Categories
Child Rights Education

Zaidi ya watahiniwa 300 wajawazito kukalia mitihani ya kitaifa

Takriban wasichana 317 wajawazito ni miongoni mwa maelfu ya watahiniwa wanaofanya mtihani wa Kutathmini Elimu ya Shule ya Msingi ya Kenya (KPSEA) na Cheti cha Elimu ya Msingi ya Kenya (KCPE) katika kaunti za South Rift.  Jumla ya watahiniwa 292 wajawazito wanatoka katika kaunti ya Baringo, Bomet na Narok, huku wasichana  25 wajawazito wanatoka katika kaunti […]

Categories
Education Latest News

KNEC Spell Out Stringent Measures and Penalties to Curb Examination Irregularities

Kenya National Examination Council (Knec) has put in place strict regulations and penalties that will affect both candidates and examination administrators found culpable of examination irregularities. This comes as students in form four, class eight and grade six prepare for national exams in the month of November. Some of the guidelines put in place include […]

Categories
Education Education education Latest News

Makali ya Njaa yawaweka watoto nje ya madarasa

Shuleni Kavunzoni, watoto wengi wanalilia njaa huku wengi wao wakikosa kuwa makini darasani, ni misimu minne sasa isiyo na mvua mjini Ganze kaunti ya kilifi. Udongo umemumunyuka na ardhi imekomaa, watoto hawapati chajio wala kiamsha kinywa. Imekadiria miaka mitano sasa, ambapo wenyeji hawajaweza kupanda wala kuvuna chochote kile,ila hio ndio hali ambayo watoto kama Moses […]