Mataifa 12 ya Afrika yameungana na Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa katika kuunda muungano mpya ambao utafanya kazi ya kuzuia maambukizi mapya ya VVU kwa watoto wachanga

Mataifa 12 ya Afrika yameungana na Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa katika kuunda muungano mpya ambao utafanya kazi ya kuzuia maambukizi mapya ya VVU kwa watoto wachanga
Wazazi ambao wamelazimika kutafuta nauli ya safari za watoto wao kurudi nyumbani, wamesikitishwa na agizo la kufungwa kwa shule hii leo, huku wakieleza kuwa hatua hiyo ni ya kutozingatia.
Idadi Kubwa ya watoto wanajihusisha na utumikishwaji wa watoto kwa sababu ya familia zao kushindwa kuwapatia mahitaji yao ya kimsingi