Naam, kuongezeka kwa viwango vya utapiamlo huwawacha watoto katika hatari ya kuambukizwa magonjwa hatari kama vile surua. Wakishirikiana na Wizara ya Afya na Huduma za Kibinadamu na washirika, Shirika la Afya Duniani (WHO) linasaidia kazi ya wahudumu wa afya ya jamii 2,163 wanaotembelea takriban kaya laki tatu kila mwezi nchini Somalia ili kuangalia watoto wagonjwa, haswa watoto […]
Je Ukame Huchochea Maambukizi ya Surua?