Familia moja mjini Mombasa inaomboleza kifo cha watoto wawili wanaodaiwa kunyongwa hadi kufa na baba yao na kuchomwa ndani ya nyumba yao eneo la Bombolulu Workshop. Jason Chacha, mzee wa miaka 55 na baba wa watoto watatu wanasemekana kuwaua watoto hao wawili wenye umri wa miaka 4 na 8 mtawalia Jumatatu saa 2 asubuhi alafu […]
Category: Uncategorized
Inasikitisha sana kuona kwamba kila kukicha kunakuwa na taarifa za kukamatwa kwa wauza dawa za kulevya katika nchini Kenya. Katika mahojiano na Afisa wa Marekebisho ya Gucha, Elijah Omanga, Kenya News Agency, ilibaini kuwa kuna ongezeko la mara kwa mara la visa vya utumizi wa dawa za kulevya miongoni mwa watoto wanaosoma shule katika eneo […]
Kulingana na utafiti watu wanne kati ya elfu ulimwenguni waliofunga ndoa wamepitia talaka, na mara nyingi talaka hizi huathiri watoto. Athari za talaka kwa watoto ni nyingi mno, ila utajitahidi vipi katika kuhakikisha kuwa talaka haitamwathiri mtoto wako? La kwanza kabisa, ni kujizatiti katika kutowaangazia watoto kwenye mapigano yasiyoisha, au vita vya chuki vilopita mpaka. […]
Shirika la Save the Children, lasema kwamba, maelfu ya watoto huko mashariki na kaskazini mwa Syria wako hatarini kutokana na kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa kipindupindu unaosababishwa na uhaba wa maji unaohusishwa na mabadiliko ya hali ya hewa na migogoro na matumizi ya maji machafu kutoka Mto Euphrates. Takriban watu 24 wamefariki kutokana na […]

Kwa Sheria mpya ya Watoto na miongozo, serikali inadokeza kwamba familia ni mazingira ya malezi na ya kujali na ni mahali pazuri pa kumlea mtoto. Hivi sasa kuna usitishaji wa usajili wa taasisi mpya na Sheria ya Mtoto, 2022 inayotoa kipaumbele kwa matunzo mbadala ya kifamilia, tofauti na kukuzwa kwa watoto katika Makazi ya Watoto. […]
Kenyans shave been asked to embrace children with special needs and help nurture them into productive citizens. Rani Ramchandani the President of Rotary Club of Nakuru said there was need for the Kenyan society to acknowledge that children with special needs have the potential just like any other children and needed to be empowered so […]

Directorate of children services representative Charles Ondongo, leads pupils of Mukuru Primary School, Nairobi, in the official launch of the Safe Community Linkages for Internet Child Safety (Safe CLICS) programme. Photo courtesy of ChildFund Kenya. ChildFund Kenya has launched Ksh 115 million project to help fight Online Child Sexual Exploitation and Abuse (OCSEA) in […]

Waziri wa mawasiliano Joe Mucheru amewalaumu wazazi kwa kukosa kukagua wavuti wanazoingia watoto wao. Alisema haya mwaka jana katika hafla ya uzinduzi wa programu ya kuwalinda watoto mitandaoni, iliyoasisiwa na Mama wa Taifa, Bi Margaret Kenyatta jijini Nairobi. Aliongezea alisema kuwa, kuweka nywila(pini) kwenye simu na vifaa za wavuti, sio suluhisho tu ya kuwalinda watoto […]

Watoto wafrika wamelelewa katika jamii ambayo imejaa mila na utamaduni wa kimagharibi. Mara nyingi, vitabu na filamu za kiafrika ni chache katika jamii zikilinganishwa na zile za wazungu. Hii ni changamoto kubwa kwa sababu watoto wakiafrika hukuwa wakiiga tabia za kimagharibi. Hivyo kufanya mila na utamaduni wa kiafrika kudidimia au kutokuwa na maana. Licha ya […]
Zaidi ya watoto milioni tatu wanahitaji msaada wa kibinadamu na wako katika hatari kubwa ya magonjwa yanayotokana na maji, kuzama na utapiamlo kutokana na mafuriko makubwa zaidi katika historia ya hivi majuzi ya Pakistan