Polisi nchini Nigeria wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 44 kwa tuhuma za wizi wa watoto 15 katika jimbo la kusini la Rivers. Polisi wanasema kwamba, watoto hao walitekwa nyara ili kuuzwa na mwanamke huyo , ambaye alidai kuwa yeye ni mtawa anayeendesha kituo cha watoto yatima. Watoto hao wanaripotiwa kuwa na umri wa kati […]
Tag: Children
Zaidi ya watoto milioni tatu wanahitaji msaada wa kibinadamu na wako katika hatari kubwa ya magonjwa yanayotokana na maji, kuzama na utapiamlo kutokana na mafuriko makubwa zaidi katika historia ya hivi majuzi ya Pakistan
Maafisa wa upelelezi katika Kaunti ya Kiambu wanachunguza kisa ambapo mwanafunzi wa kidato cha kwanza anadaiwa kuwaua ndugu zake watatu na binamu yake katika muda wa mwaka mmoja uliopita. Kulingana na KBC, Mtoto huyo alipokuwa katika kituo cha Polisi cha Kikuyu, alikiri kwa wapelelezi jinsi alivyowaua ndugu zake, mmoja akiwa na umri wa miezi 15, […]
mlipuko wa surua nchini Zimbabwe umewaua watoto 157, wengi wao wakiwa hawajachanjwa kutokana na imani za kidini za familia zao.
Kulingana na Save the Children wazazi kutoka kaskazini-mashariki mwa Uganda wanalazimika kuwatuma watoto wao wachanga wa umri wa shule ya awali, shuleni pamoja na ndugu zao ili waweze kushiriki kwenye mlo wa bure shuleni kwani idadi ya familia zisizoweza kumudu chakula nyumbani inazidi kuongezeka. Natalina, aliye na miaka 10, anasoma katika shule ya jumuiya inayoungwa […]
Wakati familia Nyingi zilizo maeneo ya miji zinakabiliwa na uhaba wa unga, wale walio katika maeneo ya vijijini wanalazimika kuchagua kati ya chakula na mahitaji mengine ya kimsingi.
Mataifa 12 ya Afrika yameungana na Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa katika kuunda muungano mpya ambao utafanya kazi ya kuzuia maambukizi mapya ya VVU kwa watoto wachanga
Save the Children Kenya and Madagascar has launched an ambitious Four Point strategic plan for 2022 – 2024 which will cost at least USD 26 Million targeting more than one million marginalized and vulnerable children in Kenya and Madagascar, in the next three years. Key on its agenda is improving access to safe and […]