Katika nchi ya Kenya, kutoka shule ya msingi na upili shughuli za ziada za masomo hufanyiwa katika vilabu vya shule. Shughuli hizi mara nyingi huwa ni za kuwawezesha wanafunzi kujaribu kufanya vitu tofauti na masomo. Mifano ya shughuli hizi ni kama kucheza mpira, kushona nguo, kuchora, kucheza vifaa za muziki na kadhalika. Aidha, vilabu hizi […]
